TUMIA REMOTE CIU YA JIRANI YAKO KUWEKA UMEME.
kuna wakati unakuta kifaa chako cha kuingizia umeme yaani ile remote ya mkononi (CIU) imepasuka au imegoma kabisa kupokea token hata ukifanya troubleshooting kwa kuingiza code bado umeme hauwaki.
Leo ntakuonyesha namna...
#TajiriLaKihaya
Kesho nitakua na Hafla ya Kufunga mwaka,Kuwashukuru na Kuwaaga michepuko yangu yote 13.
Hii hafla huwa naifanya kila tarehe 29 December ya kila mwaka- ZANZIBAR.
Michepuko yangu huwa nawapa mkataba wa mwaka mmoja- na kila mwisho wa mwaka tunaagana vizuri tu wote kwa pamoja na wanafahamiana kwa mara ya kwanza.
Kwenye hafla hioโฆ kila mmoja sharti apime Uja uzito, apime magonjwa ya zinaa pamoja na ukimwi.
Ili tuachane kwa amani kabisaa- mtu akiwa na afya yakeโฆ sitaki malalamiko baadae na huu huwa ni utaratibu wangu kila baada ya miezi mitatu kupima afya ya michepuko yangu yooote!
Pia, kila mmoja anazungumzia mafanikio aliyoyapata ndani ya mwaka mmoja wa kudate na Tajiri la Kihaya.
Wengine wamepata mitaji ya biashara na biashara zao zimeimarika na kua kubwa mno,wengine wamelipiwa karo ya chuo miaka mitatu yote,wengine wamejengea wazazi wao, wengine wamefanikiwa kulala 5 stars hotel, ambao hawajielewi wanapata mwaka mzima hawajafanya jambo la maana zaidi ya kula,kupangiwa nyumba na kupata iphone.
Huwa si Renew mkataba kabisaaa abadan!
Mwakan - nitatangaza nafasi ya kuwa mchepuko wangu na vigezo nitavitoa.