DON'T TALK TO ME, TALK TO MY LAWYER๐ฉโโ๏ธ Helping Society Is Our Responsibility. 0677058727 / 0716345157 Loc: CRDB Bank 1st Floor, Banana Dar es salaam๐น๐ฟ
Don't ask yourself about how you can access justice while you cannot afford it because ESS has come with a solution through the Legal Assurance service for those who cannot afford to pay private lawyers but also have no qualifications of accessing free legal services.
The Legal Assurance Service provided by ESS Creative & Legal Foundation is dedicated to those who cannot afford to pay private lawyers but also those who have no qualifications of accessing free legal services. #uhakikawahudumayasheria#userfriendlyjustice
Tunafanya kazi na The Hague Institute for Innovation of Law (HiiL), Mahakama kuu ya Tanzania, Umoja wa mataifa, pamoja na Serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ili kuhakikisha tunatimiza lengo na maono yetu kwa kukuza usawa katika kupata haki. #esslegalassurance
Karibu mwanachama wetu wa UHAKIKA WA HUDUMA YA SHERIA ujipatie huduma kupitia mfumo wetu wa MMS (Membership Management System) muda wowote na mahali popote.
#uhakikawahudumayasherianaMMS
Tunakupatia Uhakika wa huduma ya sheria kama suluhisho kwako wewe usiye na uwezo wa kumudu gharama za za wanasheria binafsi lakini pia hauna vigezo vya kupata msaada wa kisheria bure. #esslegalassurance#userfriendlyjustice#TanzaniaYetu@IlalaYetu
Tumekusogezea huduma karibu na timu yetu ipo tayari katika ofisi zetu mpya zilizopo Kariakoo kwa ajili ya kukuhudumia. Sogea karibu ujipatie huduma ya sheria. #esslegalassurance#userfriendlyjustice@IlalaYetu
Tunapenda kutambulisha tawi letu jipya lililopo Kariakoo, mtaa wa Tandamti karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon, jengo la njano zilipo ofisi za Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania. Karibu sana ujipatie huduma ya sheria. #esslegalassurance#userfriendlyjustice@IlalaYetu
Katika kuhakikisha tunatekeleza jukumu letu la kuisaidia jamii, shirika letu kupitia "Uhakika wa huduma ya sheria" linawafikia walengwa katika jamii na kuwaelimisha kuhusu huduma zetu pamoja na kusikiliza matatizo, mahitaji na kero zao ili tuweze kuwapatia huduma ya sheria.
Tumia kadi yako ya uanachama ya Uhakika wa huduma ya sheria kupata huduma kutoka kwa wanasheria wetu ambao wana mafunzo na ujuzi wa kutosha wa sheria. Hivyo hutoa huduma kwa ufanisi wa hali ya juu #esslegalassurance#userfriendlyjustice#ilalayetu