The dangerous thing about blessingsโฆ They come with tests you didnโt apply for. And most people fail because they panic too early. Loose lips donโt just sink shipsโฆ they delay miracles.
Manzi ana drive wewe na mshahara wako wa laki tano unamtongoza wa nini?
Utanunua tairi za LINGLONG
Utaweka mafuta?
Utamfanyia service oil?
Mnajipaga ma stress ya bure tu, mara inferiority complex mara insecurity.
Heri niendelee na ushamba wa MPANDA.
Let me be Honest, there is something we Tanzanians like about Larry. And that is his English Accent , Larry Accent is just so fine and perfect, i donโt know if you guys have noticed this !
Repost 670 for larry
Ukiona mwanamke anakulazimisha sana umuoe, anataka ufanye jambo linalomfaidisha sana yeye na sio wewe..
Kama mwanaume, siku zote jitahidi usimuoe mwanamke mwenye haraka sana ya kuolewa au aliyekata tamaa ya kuolewa..
Ukiona Umeanza Kuwaruhusu Kirahisi Kabisa watu Waondoke Katika Maisha yako iwe Mpenzi Au rafiki Hata Ndugu na Unakuwa na Amani zaidi ukiwa Peke yakoโBasi umeshakuwa Mtu HATARI Zaidi!
PS: Furaha ya Kweli ipo KwenyeโDETACHMENT!