@Benzinh0 You are just stupid. The october 29 haiwezi kuja kuisha kirahisi tu. TEC wana remind watawala na wengine kua haya hatujayasahau. And its good. Yaliyotokea yalitisha usalama wa nchi.
@VungaEl74 Ana baloon ngap,? word cup? Team mate anaishi nao vipi? Club relationship? Lazima afikie hizi level kitu ambacho dogo klisitiano hana. Anagomba na kila mtu, uwezo umeshuka mara nne zaidi ya awali na bado anaforce, amegombana na makocha wengi. Hana sifa ya kua mchezaji bora
@Peterson600600 Weka nadhiri kwa Mungu, mwambie siku nikigusa nyeto tena, ondoka na macho yangu (upofu), au ukiziwi yan hakikisha haujipi nafasi ya kuja kurudia hata utamani vipi. Kama kweli unamuogopa Mungu wetu, utatoboa. Ila huwezi sema tu nimeacha leo na ikawa kweli ni uongo.
@heisnabeel@Njamasi__ Hata mmi Nimeshuhudia kwa macho yangu sio mmoja wala wawili, ni wengi mnoo. Hakuna alichodanganya hapo. Hakuna cha mentality. Wanabongwa wengine mpaka wanazalishwa. Chunga sana kijana.
@gregory_onesmo@ClaraFundi Dunia nzima inajua ronaldo ameishiwa kila mtu anajua hadi wachezaji wenzie wanajua hana msaada tena kwenye timu, isipokua nyie fans wake ndo mnaona bado kama yumo ila kwasasa ukiachana na mambo ya mikataba bora umchukue doumbia teka la lunyasi.😄
@viniciusjeiara@INFLUENCERjr@Big0047 Kwa sasa adeyemi ana badilishana namba na gordon huwez ongeza joao felix ambae sio mzuri sana akicheza winger ya kushoto, labda namba 10 ambayo ina fermin, olmo,