Michael Carrick ameteuliwa kuwa kocha wa kudumu wa Manchester United baada ya kufanya vizuri alipopewa kibarua cha kusimamia club hiyo kwa Muda toka Januar 2026.
Muda wowote kuanzia sasa Real Madrid watamtangaza Jose Mourinho kuwa kocha wao mkuu,
Mkataba wa awali wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza umesainiwa.
HII HAPA RATIBA YA NUSU FAUNALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO PAMOJA NA VIWANJA VITAKAVOTUMIKA:
Simba Sc 🆚 Coastal Union
🗓️ Juni 20, 2026
🏟️ Sheikh Amri Abeid - Arusha
Azam Fc 🆚 Yanga Sc
🗓️ Juni 21, 2026
🏟️ CCM Kirumba - Mwanza
Kikosi bora cha Cristiano cha Muda wote
1.Edwin van der sar
2.Cafu
3.Marcelo
4.Ramos
5.Pepe
6.Toni Kroos
8.Paul Scholes
10.Zidane
7.Messi
11.Ronaldinho
9.Ronaldo cr7
Hiki hapa kikosi bora cha Messi cha Muda wote
1.Emiliano Martinez
2.Alves
3.Alba
4.Puyol
5.Ramos
6.Xavi
8.Iniesta
10.Ronaldinho
7.Messi
9.Ronaldo cr7
11.Neymar
Kikosi bora cha Muda wote cha Ronaldo R9
1.Buffon
2.Cafu
3.Carlos
4.Maldin
5.Ramos
6.Paul Scholes
8.Zidane
7.Messi
11.Ronaldinho
9.Ronaldo R9
10.Ronaldo cr7
Hiki hapa kikosi bora cha muda wote cha Lamine Yamal
1.Casillas
2.Dani Alves
3.Marcelo
4.Puyol
5.Ramos
6. Sergio Busquets
8.Xavi
10.Iniesta
7.Messi
9.Ronaldo Cr7
11.Neymar
Hiki hapa kikosi cha Jude Bellingham cha Muda wote
1. Thibaut Courtois
2.Taa
3.R carlos
4.VVD
5.Ramos
6.Luke Mo
8.T kroos
7.Messi
10.Zizzou
11.Ronaldo cr7
9.Ronaldo R9
Kikodi bora cha Salah cha Muda wote
1.Allison Becker
2.Taa
3.Marcelo
4.VVD
5.Ramos
6.Gerrard
7.Messi
8.Zidane
11.Ronaldo Cr7
9.Ronaldo R9
10.Fernando Torres
Kikosi bora cha Ronaldinho cha Muda wote
1.Dida
2.Cafu
3.Roberto Carlos
4.Maldin
5.Puyol
6.Iniesta
7.Messi
8.Zidane
11.Neymar
9.Ronaldo Cr7
10.Ronaldo R9
Mnyama ajiangalie sana ,mbona hii mechi naona kabisa inakwenda kuwapalia 🙌🙌
Apambane haswa,la sivyo atakula alikopeleka mboga.
Mpaka sasa bado bado mnyama kashika point moja mkononi 🙌
Jumapili ya tarehe 7 mwezi wa 9 2025 Tanzania tutashuhudia kupatwa kwa Mwezi,
tukio hili litaanza saa 12:28 jioni na kumalizika kama saa 5:35 usiku,lakini mwezi utakuwa umepatwa wote saa 3:11.
Hakikisha unashuhudia hili upate cha kusimulia uzeeni.