Influencer Content Creator & Social Media Promotions And Ads Matangazo Dm Ipowazi
@SimbaScTanzania
๐ฑ Founder CEO #SisiKitaaNawana On Space ๐ฅ #BackUp Account
Zimebaki siku nne USA wafanye uchaguzi wao bila kusikia kutekana, vifo au wapinzani kukamatwa na kuzuiwa kufanya mikutano. Rais aliyekuwepo madarakani (Joe Biden) hajaingiza jeshi barabarani kumsaidia Kamala Harris dhidi Donald Trump. Huu ustaarabu wa โwatashaโ tutaurithi lini?