Kila Ulichokifanya Tanzania Ilikuwa ni Mara Ya kwanza
1.Raisi Pekee Alietutoka akiwa madarakani
2.Raisi Pekee Alikuwa Anajishusha kwa watu wa chini
3.Raisi pekee aliepeleka Tanzania kuwa uchumi wa kati
4.Raisi Pekee ulifatilia maisha ya watu kwa nafasi ya mtu
#MagufuliWasAHero