@KenyaPower_Care ukunda kwale county ty for the last 3 days no power ...kindly assist ..the line of Neema church all the way to your mlika mwizi ..my account NO 060604013
@sholard_mancity Waaah ...ebu zikatakate vizuri,.nyukua nyama ,nyanya,nazi,saumu ...Kaanga vizuuuuri......weka Nazi ikiwa ya mwisho ..give it about 5 mins ichemke na usisahau kapilipili..woiii na si uchukue ugari ikiwa imepikwa na Unga ya kavagara..make sure hauna Shirt ama any top..fan ikuwe on