@dawasatz Mnatuhudumiaje? Goba lastanza (Mji mpya ) inafika miezi 5 sasa maji hakuna . Na huyo meneja wa kituo cha makongo ame relax tu hatuoni akishughulika na sisi. @dawasat@JumaaAweso
ICEA LION has been nominated for the Consumer Choice Awards 2023.
Visit https://t.co/GbbWZvcHlQ to vote for us. It's simple: register, check your email (even your junk folder), and vote for us in the 'Most Reliable' and 'Most Favorable' general insurance categories.
Whether you're safeguarding your home, Business, or embarking on new adventures, we've got your back with our range of insurance services.
Get in touch with us today through our website at https://t.co/lFl3lXpg6O or give us a call at 0754 400 455 to learn more.
#ICEALION
Karibu sana kwenye Ofisi yetu mpya iliyoko Dodoma, ambayo sasa imehamia Mtaa wa Uhindini kwenye makutano ya barabara ya Mwanza na Mtendeni. Tembelea tovuti yetu https://t.co/lFl3lXpNWm au tupigie kupitia namba 0754 400 455 kwa msaada zaidi.
#ICEALION#DODOMA#BIMA
Bima yetu ya mizigo inatoa ulinzi dhidi ya uharibifu, upotevu au kuibiwa kwa mali wakati wa kupakizwa, kusafirishwa au kushushwa.
Agiza mizigo bila uoga, kuhusu Bima Tuachie Sisi.
Tembelea tovuti yetu hapa: https://t.co/lFl3lXpg6O au tupigie kupitia 0754 400 455.
#INSURANCE
@athanas_pius Thermos ilikuwa ni kampuni ya chupa za chai ila watu huwa wanadhani kila chupa ya chai ni thermos, nyingine ni Kiwi. Watu hu generalize kila dawa ya viatu kama kiwi.
Matukio ya moto yanaweza kuwa mabaya na kukuletea hasara kubwa, kama mfanyabiashara unahitaji kuwa na bima ya moto kutoka ICEA LION ili kujiepusha na hasara kubwa ziletwazo na moto.
Wakati mwingine kama binadamu unaweza kujisahau na kuingia barabarani huku bima ya chombo chako ikiwa imeisha. Kwa njia rahisi sasa unaweza kata bima ya gari, bajaji au pikipiki kupitia M-Pesa (VODABIMA). Tupigie kupitia 0754 400 455 kupata maelezo zaidi.
Mnaweza kuwa mmepoteza mechi, lakini mmeshinda mioyo yetu. Mmetuonyesha nini maana ya kuwa bingwa kwa kupambana na kuonesha juhudi. Tunawashkuru kwa kutuwakilisha vyema kimataifa.
It’s the end of the month, go ahead and book that Dubai trip you've been planning to go with your friends/family. With ICEA LION Travel Insurance you will be covered in case you fall ill while traveling, your trip is delayed, your luggage is stolen, and many more.
Kila mtu ana gari ya ndoto yake. Je yako ni ipi?
Fanikisha kumiliki ndinga yako na ICEA LION tutakuwa pamoja nawe kukuhakikishia usalama wa gari yako.
Tupigie simu leo kupitia 0754400455 au tembelea tovuti yetu https://t.co/lFl3lXpg6O kwa maelezo zaidi.
#ICEALION#Bimayagari
Swala la usalama wa mizigo yako ukiwa na bima ya usafirishaji kutoka kwetu halitakiwi kuwa tatizo tena. Bima yetu itahakikisha mizigo yako inakufikia kwa usalama. Fanya maamuzi sahihi leo kwa kukata bima ya usafirishaji kutoka kwetu. Tupigie simu 0754 400455 kwa maelezo zaidi.
Haya ni baadhi ya maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu ICEA LION.
Kwa swali lolote kuhusiana na huduma zetu usisite kutufikia kupitia namba zetu 0754 400455 au kupitia tovuti yetu https://t.co/lFl3lXpg6O. Tupo tayari kukusikiliza na kukuhudumia.
#ICEALION#Bima
ICEA LION inatambua umuhimu wa kila mtu kupata bima ya chombo chake iwe pikipiki, bajaji au gari kwa urahisi na kwa gharama nafuu. Sasa kupitia M-Pesa (VODABIMA) unaweza kata bima na ujihakikishie usalama wa chombo chako popote uendako. Tupigie simu 0754 400 455 kwa maelezo zaidi
Jipatie bima ya chombo chako kwa njia ya mkopo kupitia Mpesa (VODABIMA). Chakufanya ingia kwenye Mpesa App au piga *150*00# chagua huduma za kifedha>Vodabima>Bima ya chombo cha moto>Mkopo wa bima>Chukua mkopo>Chagua aina ya bima>Chagua namba 9 ICEA LION. Bima Kiganjani mwako!
Enjoy your weekend with the peace of mind that comes with ICEA LION Insurance.
Visit https://t.co/lFl3lXpg6O or give us a call at 0754 400 455 to learn more about our services and products.
#ICEALIONTZ#Insurance