One day on my way to school nikiwa 3rd year, nilipatana na wakali kwanza hapo msikiti mkubwa. They snatched by bag na ilipata kama I had withdrew rent to give my landlord wakaenda na everything wakaniachia alama ya panga on my right wrist coz I was trying to be resistant...