SULUHISHO MAGONJWA SUGU YOTE!
▪︎UTI▪︎P.I.D▪︎KISUKARI▪︎SHINIKIZO LA DAMU/PRESSURE ▪︎MATATIZO YA UZAZI KWA MWANAMKE ▪︎NGUVU ZA KIUME▪︎TEZI DUME▪︎MIFUPA n.k
Mwezi wa kwanza tarehe 30 nilijipa challenge ya siku 100 bila porn na punyeto.
Niliweza siku 65 tu Nikateleza Siku 35 (65/100)
Hizi siyo namba tu! Ndani yake kuna kitu nilijifunza kuhusu ubongo wangu.
Na haya ndiyo mabadiliko halisi yaliyotokea kwenye mwili wangu:
Thread🧵⤵️
Mwanaume mwenye commitment na malengo yake…
1. Anakataa comfort zone,
2. Anajitenga na distractions,
3. Hana muda wa raha nyepesi,
4. Analinda muda wake kama mali,
5. Hana muda wa kupoteza kwa wanawake.
Yaani kwa lugha rahisi,
Anajichagua yeye na future yake kila siku.
Are you the one..?
Mwanaume achana na hiyo feminine urge inayokuambia kutanguliza mwanamke wako kwanza.
You should prioritize YOURSELF!
Remember it's YOU first everything else MUST fall in that order mpaka pale utakapo oa na kuanzisha familia.
Bro ni utakapo oa sio mtakapo'oana.
Your mental & physical health, emotional wellbeing, Happiness, career/ Money.
Lengo langu ni kukuwezesha kutimiza malengo yako bila kujali hali uliyonayo. 💪🏽
Nmewasaidia watu wengi sana kupata uhuru wa kiuchumi👏🏾
Karibu sana tuzungumze siku hii ya kipekee sana 🙏🏾
0786 426 833
Ndugu Mwanamafanikio!
Sitaki kujua historia yako.
Sitaki kujua umetokea wapi
Sitaki kujua umefeli mara ngapi.
Sitaki kujua umekataliwa mara ngapi.
Sitaki kujua mambo yamegoma mara ngapi.
Sitaki kujua kisingizio chochote cha wewe KUTOTOBOA!!
Ninachojua tu ni kwamba WEWE unaweza KUTOBOA, PERIOD!
Namaanisha KUFANIKIWA katika jambo lolote au kuwa mtu yeyote unayetaka kuwa.
Kwani, "Chochote kitakachozaliwa katika FIKRA yako na KUIAMINI, basi inawezekana KUFANIKISHA".-Napoleon Hill.
Kwa hiyo; “MAPITO yako SIYO HATIMA yako. Ni MCHAKATO tu”.
Na kumbuka kabla hujawa JENERALI lazima uwe KURUTA.
Hivyo, utapigwa Vasco Da Gama nyingi kabla ya kupigiwa SALUT!
Najua una KIU kubwa ya KUTOBOA iwe kupitia UJUZI, KAZI, BIASHARA, TAALUMA, KIPAJI n.k.
Natumbua SHAUKU na DHAMIRA ya DHATI uliyobeba moyoni mwako.
Natambua NDOTO kubwa MAONO, MALENGO na MIPANGO makubwa yanayokunyima usingizi kila kukicha.
Natambua JITIHADA ZAKO, NGUVU, AKILI, MUDA na MAOMBI unayowekeza ili KUTOBOA kwenye kile unachokifanya.
Natambua HASIRA na NJAA ya MAFANIKIO inayokufanya kila siku uzidi KUKAZA ili UTOBOE.
Hongera sana!!
LAKINI, je hiyo INATOSHA tu??
HAPANA! .
Haitoshi kukufanya UTOBOE!!
⚠️ Unahitaji MFUMO wa kiTABIA NA UTEKELEZAJI ili uweze KUTOBOA!
MAFANIKIO ni mjumuisho wa TABIA na TARATIBU zako za kila siku kuanzia unapoamka mpaka unaporudi kulala.
"Kamwe hautoweza KUBADILISHA maisha yako mpaka UBADILISHE kile unachofanya kila siku. Siri ya MAFANIKIO yako ipo katika yale unayoyafanya kila siku", John Maxwell.
Na hii ndiyo SIRO ya ambayo watu wengi hawajui. Kila mtu ana NDOTO, MALENGO au MAONO lakini wachache ndiyo wanajua SIRI ya kuwa na MFUMO ili KUTOBOA.
Ndiyo maana, nimeamua kuandaa kitabu hiki (E-book) ya NITATOBOA kwa Mpambanaji kama wewe mwenye shauku na kiu kubwa ya kutoboa.
ILI, ujiimarishe KIFKRA, KIMBINU, KIMFUMO na KIMKAKATI katika safari yako ya KUTOBOA.
Kumbuka, "ASKARI wa kweli haachi KUJIFUNZA na KUJINOA hata kama ametoka kushinda au kupoteza VITA jana".
Na siku zote, “Jeshi halifanyi mazoezi vitani. Vita siyo uwanja wa mazoezi. Ni uwanja wa kupima na kuonyesha uwezo".
Yaani, ni sehemu ya kutumia dakika au maasaa chache kuonyesha uwezo wa silaha, mbinu na mikakati waliyofanyia mazoezi au iliyosukwa kwa miezi au miaka kadhaa nyuma.
Hivyo, Usiache kujifunza ili uwe BORA katika kile unachokifanya kwa kuongeza UFANISI na MATOKEO.
Na mwezi huu wa tatu, ninakupa MARCH FORWARD OFFER ya kujipatia NITATIBOA E-book kwa bei ya Tsh. 5000/- tu, ambayo ni nusu ya bei halisi (Tsh. 10,000/-).
Ili kupata nakala yako tuma neno NITATOBOA kwa SMS au Whatsapp Kwenda namba 0764 191504 ili kupata utaratibu.
EFM.
Unlock and live your dreams!
Tabia mbaya huiba
Muda wako,
Kujiamini kwako,
Nidhamu yako,
Na Hatma yako
Huiba polepole sana kiasi kwamba huoni mara moja, mpaka miaka inapita.
Unachofanya faraghani, ndicho kinachokufundisha wewe utakuwa nani hadharani.
Tabia zako zinapiga kura kila siku kuamua wewe utakuwa Mwanaume wa aina gani.
Wewe ni kile unachofanya wakati hakuna mtu ANAEKUONA
Maamuzi Yatakayo Badilisha Maisha Yako:
1. Kuamka mapema
2. Kujifunza kila siku
3. Kuheshimu muda
4. Kufuatilia mambo yako
5. Kutoogopa kufeli na kuanza upya
6. Kuchagua marafiki mnaofanana maono
7. Kuweka akiba na kuwekeza kwa nidhamu
8. Kulinda afya yako ya akili na mwili