Kila baada ya dk 10 tutakuwa tunapost kuwakumbusha kuwa ARSENAL ni BINGWA WA EPL 25/26
kama tulivyovumilia miaka 22 bila ubingwa tutaomba na nyie mvumilie vile vile Asante sana ...and GOOD MORNING UMEAMKAJE?!
N:B ... KULIA INARUHUSIWA ✅
Wanafunzi waliopo second year chuoni na kurudi chini, walikuwa hawajazaliwa wakati Arsenal inabeba kombe la EPL mara ya mwisho. Wao pamoja na mashabiki wengine wa Arsenal ambao hawajawahi kuona Arsenal ikiwa bingwa wa EPL hongera tele kwenu. Huu ushindi ni mahususi kwa ajili yenu