Wakati unapambana usiache kuomba Mungu akukutanishe na maboss ambao wakikulipa pesa baada ya kumaliza kazi isiishie kulipa madeni na kufanya starehe tu bali ikusaidie na kufanya kitu chaa msingi( wakunja roho)
#usimuuzieMADAWAmwanangu#mtotoWAmkulima 🧠
Hello FAM
Hakuna hela ya halali isiyo na ugumu na ugumu wake ni kuwa na SUBRA, ukifanikisha kuwa na subra umetoboa.
#usimuuzieMADAWAmwanangu#mtotoWAmkulima 🧠
@FKihamu@BillyTronix1 Anajisahahulisha kuwa damu ni nzito kuliko maji, hofu itakufanya ukamatwe na kutuhumiwa kama muuaji. Suruhisho ni kutoa taarifa polisi. #Farhan 💪
Hofu ya kifo
1. Familia tulizo nazo zitaendelea kubaki katika hali gani licha ya hali tulizo ziandaa.
2. Mali tulizo nazo tunamuachia nani..?
3. Wasi wasi juu ya hukumu kwa hiki tunacho kifanya kwa Dunia.
Wanaume njoeni hapa msikie, Leo ni siku ya wanaume duniani lakini hao wanawake mnaowathamini wanafanya kama hakuna kitu kimetokea
Hivo basi msisahahu kujipenda, kujithamini, kujijali na kujizingatia.
#Tunazaliwa kwa tabu, tunaishi kwa tabu, tunatafuta kwa tabu tunatumia kwa tabu
Ukishindwa kuwa kama mzizi wenye Tiba kwa mtu, basi usiwe mwiba wa maumivu.
Ishi🫂
Penda ❤️
Furahi 😃
Maisha hayakupi nafasi nzuri ya pili, ya kuishi vizuri na mtu uliye mkosea.
#mtotoWAmkulima 🧠
Ni vile tu hatuna sikio jepesi la kuwasikiliza wale wanao tukosoa na kutupinga.Ila binafsi hao wanakua na hoja za msingi za kufanya ivo sema ni vile tunakaza kichwa
Majuto ni mjukuu ila kwa hili naimani tutajuta sio sisi tu hata wajao baada ya sisi na tutashindwa fanya mabadiliko
Dia braza endi Sista, Usije ukamuona mtu wako wa karibu hana maana yoyote kwako kwa kushindwa kukupa vijizawadi kama unavo ona watu kwenye mitandao wakipeana, nakustua kuwa watu siku izi wanajipa zawadi na kuposti kuwa wamepewa
#feki_laifu#mtotoWAmkulima 🧠
Ni vitu NNE tu vinavyo weza fanya mtu akawa TAJIRI kwa DUNIA......
1:KIPAJI
2:BAHATI
3:ELIMU
4:URITHI
NOTE:AFRIKA TUZINGATIE SANA NAMBA 3 COZ WAZAZI WANATUAMINIA KUPITIA HIO
✍️Hakuna mwanamke sahihi aliye kamilika wa kumuoa na Hakuna mwanaume sahihi aliye kamilika wa kukuoa ILA kuna mwanamke na mwanaume mwenye mapungufu machache ya kuyavumilia na ndio mana mnaoana
#TUOMBEANE#NOBODYdoPERFECTforever.
@Roma_Mkatoliki retweet it Bro