Kuna haja ya kupata list ya majina ya wote waliouwawa tarehe 29 na kufanya namna ya kuifanya hii tarehe kama siku ya mashujaa na kufanya maombolezo kila mwaka..Hili tukio sio la kulisahau na kuliipotezea kirahisi
Liverpool FC:
❌ 9 losses in 12 games
❌ Salah Cooked
❌ Van Dijk Cooked
❌ Wirtz 0014 outside of Germany🇩🇪
❌ Isak no UCL goal in 730 days
❌ Isak no PL goal in 207 days
❌ Konate Cooked
❌ Kerkez Shit
❌ Slot Clueless
❌ Ekitike no G/A in 7 games
What a time to be alive 🥳🥳
🚨🗣️ Vincent Kompany: "I hope we face Arsenal again this season. We're not in a situation where we say: 'You can't beat them'."
"I really want to face them again, and see how things go in the next stage."
European MPs have voted to block funding to Tanzania and to consider sanctions against powerful people behind human rights violations.
Our latest report on CNN keeps the international spotlight on Tanzania
‼️🚨TAARIFA - JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA‼️
Tunapenda kulikumbusha JWTZ ni Jeshi la WANANCHI, si jeshi la viongozi. Hivyo wajibu wake ni kuhakikisha maandamano makubwa ya amani yasiyo na kikomo yatakayoanza Jumanne tarehe 9 Disemba 2025 katika maeneo yote ya Tanganyika yanafanyika huku wananchi wakilindwa. Wananchi watakuwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kuilinda na kuikomboa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyotekwa nyara na genge la wahuni linaloongozwa na Samia Suluhu Hassan.
#D9 #SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #KaribuTheHague
GUYS huyu ndio msanii wetu pekee wa kimataifa tumekubaliana kumsikiliza kwa WIVU MKUBWA SANA.
Dondosha Mawe yake hapo tuanze kazi ya kuzichapa hizo ngoma kwenye maspika yetu huku VINYOZI vya KIMARA (GAZA).
REPOST
TUTAKUWEPO🫵😎
Dada mange huyu mwenzetu alipigwa risasi kifuani alafu wakamgonga na gari ili kupoteza ushahid, hii ni Tarime, hii si siku wamemleta marehemu vijana walikua na uchungu atari. Tulikuwa tunalia huku tunaimba. Tuko tayari kupambana na serikali kwa hali yoyote mpaka tupate haki kwenye nchi yetu, ni bora tufe tukipambania haki kuliko kukubali kuishi utumwani ndani ya nchi yetu. Moto tulionao kwa ajili ya December 9 ni mara elf ya Oktoba 29.
🇹🇿🇹🇿🔥🔥💪🏽💪🏽
#D9 loading
Hakuna kurudi nyuma !
Mungu ibariki Tanzania 🙏🏽
Hii video ya Oktoba 29 nimeona leo - wow! Kumbe vijana waliandamana kwa amani na bendera
So beautiful - ila mashetani mliamua kuwaua kinyama!
Ila hamtaweza kuua Spirit! Sasa mliowaua wataandamana nasi kupitia ulimwengu wa roho ✊🏽 tumepata warrior spirits wa kutusindikiza kutukamilishia hii vita ya kiroho!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo