Huyu nae alipigwa risasi Oktoba 30 usiku maeneo ya Salasala Mbezi beach.
Polisi wakabeba mwili wake na kuondoka nao, ndugu walizunguka mochwari zote bila mafanikio.
Jana kwenye ile video ya Mwananyamala baada ya kuzoom wakafanikiwa kuona mwili wa ndugu yao halafu @wizara_afyatz walivyo wasenge wanasema hii video ni AI.
Yani mmeua ndugu zetu na bado kiburi cha kuja hadharani na kusema kwamba ni AI.
Haya sawa endeleeni na kiburi na kejeli zenu, tutaonana Disemba 9, mkatuonyeshe mliokowazika ndugu zetu, hili jambo hatutakubali lipite hivi hivi.
#TanzaniaMassacre #TanzaniaIsBleeding
#SamiaMustGo