@AzamPesa Nyie jamaa mnatangaza kwenye tv station kuwa tukilipia kupitia azampesa mnatupa kifurushi cha juu. Na masema kila kifurushi kuanzia 19000 unapewa kingine. Ila ukilipia mnasema sio 19000 nkkuanzia 28000 huo nibutapeli aisee. Kama mnataka tujiunge na azampesa tuambieni tu
@VodacomTanzania mwanzo nilikuwa nikiweka salio kawaida mnakata sh 100. Saivi nikiweka mnaka 200. Na nisha wambia kuwa sitaki huduma yoyote . Mkasema menitoa saivi mnakata tena 200. Huu ni wizi aisee. Mtuambie kama hamtaki tutumie sim card zenu basi. Kuliko hivi.
@VodacomTanzania jana mmenikata 50 leo mmenikata 100 ya mdundo lakini kwann mnanifanyia hivi Voda. Na nilisema huduma ya mdundo sihiitaji still mmekwala tena 100. Yani hammpendi kuona kuna hela inakaa kwenye salio lakawaida au?
@VodacomTanzania Voda sina huduma yoyote niliyo jiunga nayo. Mara yakwanza mlinikata nikaomba niondolewe huduma zote. Naona leo tena mmenikata 50 hivi nn tatizo You Guys..
@gondwe3 Habari Kiongozi, Sisi wanakijiji wa Kijitonyama kisiwani kuna Project ya Ujenzi wa Hospital katika kiwanja chetu cha michezo kilicho zungukwa na shule Tatu ambazo zinategemea hicho kiwanja. Tunaomba muongozo wako kiongozi juu ya hili swala maana tunakosa majibu kamili.
@BetwayTanzania Malipo yamekamilika kwenda Media Bay, Kiasi Tsh1,000. Salio jipya ni Tsh 10. Ada Tsh 60. VAT TSh 9. Kumbukumbu no.93195788649. 21/10/21 16:26. Muamala wangu huo hapo..