Wengine wanataja magari wengine wanataja mafarasi, bali sisi tunalitaja hilo jina la Bwana 🙌🏾
Karibu ndani ya ibada #Pambazuka na @Sally_Mbeyu#TestimonyTuesday.
Share with us your testimony leo utie mtu moyo hapo kwa comment section.
#RadioNumberOne
Good morning Mwana Ligi, ni wiki mpya na ya baraka, Mungu atutangulie na atusaidie maana ametuona na anashughulika. Wikendi ilikuaje? Wacha tubariki wiki na our learning institutions, hapa ndipo! @EvahMwalili@Radio47_Kenya#nurunaevahmwalili#nurunaevahmwalili