Elfu huanza moja! Safari moja huanzisha nyingine 💪🏽
Kilichowazi ni kuwa bila Dola watawala kumbe ni wepesi SANA! Wanachojua ni kutishia na kuhonga - wakikutana na wanaojitambua basi huwa waungwanaaa 😅
Tuamkeni watanzania tutambue kuwa #WenyeNchiWananchi na #KatibaMpyaNiSasa
1.Msimamo ni chanzo cha kuaminika
2.Kusamehe ni sehemu ya ushindi
3.Mafanikio yapo ktk kufanya unachokipenda
4.msaidie mtu bila kujal atakulipa nn
5.Fursa zipo ndani ya matatizo ya watu
6.Upendo katk Taasisi ni silaha ya mafanikio.