Dominic Deusdedith Ng'holombi: A Visionary in Technology and Business
Dominic Deusdedith Ng'holombi is a Tanzanian entrepreneur, technologist, and consultant
Katiba
37-5 Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na kuwa Rais kwa muda uliobaki