@ignyharaz2 Ushago sio greener pastures vile una imagine, so many boys ni wa single mums watatoa wapi shamba ya farming? Farming pia inataka kapito, itoke wapi na mbolea ya afadhali ndio hiyo inakuja kama imechanganywa na mchanga ratio ya 1:9, 9 being mchanga?
@Moesking25@kijana_misa I support this, nikila sima my digestion takes over 12 hrs ndio niskie njaa tena, eating ugali makes me develop a kitambi immediately.