@bonniemusambi @KbcRadioTaifa @cynthy_anyango1 you made a mistake mungejifanya mnataka usaidizi ndo mngejua vle anachangamka, ata angewaambia akuje penye mko #Zinga
@bonniemusambi@cynthy_anyango1 @KbcRadioTaifa ujanja n mwingi, unaeza mwambia nmeona kwa ndoto hii love yetu haitaenda mbali, nami dream yangu hailengi nje #zinga
@bonniemusambi@cynthy_anyango1 @KbcRadioTaifa apana huyo mtu tulimshughulikia last yr, hio case yake haijawai isha, ndo mtajua mashabiki tuko na tunafuatilia kabisa #zinga
@KbcRadioTaifa @bonniemusambi@cynthy_anyango1 Mimi kama shabiki mkubwa nahisi kama tulishughulikia hii case last yr, tena mrembo alikata kol vivyo tu try to recall #zinga
@cynthy_anyango1@bonniemusambi @KbcRadioTaifa kwanza jamaa ako na roho nzuri sana, narudia tena jamaa haez poteza kila kitu, wadada wametuzoea sana, wanatumia sheria kuepa na watoto, round hii hawana bahati #Zinga