@nicomwaih@tibaasili3@ItsKamala Naomba kuuliza huyu anapouzwa kwa 45M anakua special kwa kipi (product ipi)? Mbegu anayozalisha au kuna kingine? Mfano akinunuliwa na watu wa Raw kama butchery anawwza pata return na faida?. Naomba kuelewa.
@eastafricatv Huyu anaehoji nae anahoji kama tayari ana story za kijiweni,, very unprofessional. Mwandishi unahoji kana kwamba kuna majibu unayataka au tayari unayajua.
@MrCEO001@IamGabby_01 Rukwa-sumbawanga kina poin 3,, westgate night club-bei merereko,, Fire-chaka2chaka kwa walala hoi, king G night club hapa bei 5000 ST, kulala 30k-200k unajimilikisha.