Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga light pistol kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliyopo Kikombo mkoani Dodoma.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulenga, ametangaza zawadi ya shilingi milioni 10 kwa wanafunzi wa uhandisi vyuo vikuu watakaobuni na kuwasilisha maandiko ya kibunifu yatakayotoa suluhisho la changamoto zinazoikabili Wizara ya Ujenzi — ikiwemo tatizo sugu la foleni katika Jiji la Dar.
@John_Pambalu Ndani ya siku 100 ,
Serikali itaanzisha mfumo wa kidigitali na SMS za bure ku hakikisha viongozi wanawajibika moja kwa moja kwa wananchi
#Siku100zaSamia
@Jambotv_ KAZI SASA IMEANZA!
Ndani ya siku 100, serikali imeahidi kuanza mkakati madhubuti kuhakikisha kila mtoto wa darasa la tatu anaweza kusoma, kuhesabu na kuandika bila shida.
Ili kufanikisha hili, serikali itaajiri walimu 7,000 wa masomo ya hisabati na sayansi.
#Siku100zaSamia
@bbcswahili Pole pole atuachie maigizo kutengeneza taharuki ni kawaida yake muache ajiteke mwenyewe ila sisi wengine tunasubiri Taarifa kutoka vyombo vya Dola.