Msanii pekee ambaye namkubali tokea nimeanza kujitambua yaan namkubali kinoma noma Asee ni @bill_nass ndio msanii wangu namkubali iwe jua iwe mvua
Tokea nilipoanza kumtambua kwa ngoma ya #Chafupozi huyu jamaa dah hajawahi niangusha kabisa
@bill_nass Mimi ni Shabiki yako๐ ๐ฅ๐ฅ
Umewahi kusikia nini kuhusu uhusiano wa Mwanaume kufanya Punyeto na kupungua kwa Nguvu za Kiume?
Kwa mujibu wa Dkt. Sadru Mohamed, Mwanzilishi wa App ya AfyaChap na Mkurugenzi wa Kliniki ya Madaktari Bingwa ya Msua Polyclinic iliyopo Musoma, Mkoa wa Mara, upungufu huu hautokani na kitendo chenyewe, bali hutokana na Ubongo kuzoea mazingira yasiyo ya uhalisia mfano Video au picha za ngono na mgandamizo wa mkono, jambo linalomfanya mtu ashindwe kufurahia au kushiriki kikamilifu tendo la kawaida la ndoa na mwenza wake.
Mahojiano haya yamefanyika kupitia kituo cha Bongo FM.
Huyu ni Kaizirege & Kemebos. Mkurugenzi ana G7 nyingi na haringi. Hauwezi kusikia anaambia watu wamuulizie yeye ni nani.
Haya yapo mapumziko achilia mbali yanayozunguka. Unaambiwa kwa wingi wa ma G7 yaliyopo dereva ukizima gari hauruhusiwi kuchomoa ufunguo. Ukiutoa hauna kazi๐.
๐ฌ Top 20 Most Famous United Kingdom Actors
โ ๐ฌ๐ง Sean Connery
โก ๐ฌ๐ง Anthony Hopkins
โข ๐ฌ๐ง Michael Caine
โฃ ๐ฌ๐ง Daniel Day-Lewis
โค ๐ฌ๐ง Gary Oldman
โฅ ๐ฌ๐ง Benedict Cumberbatch
โฆ ๐ฌ๐ง Christian Bale
โง ๐ฌ๐ง Daniel Craig
โจ ๐ฌ๐ง Ian McKellen
โฉ ๐ฌ๐ง Tom Hardy
โช ๐ฌ๐ง Idris Elba
โซ ๐ฌ๐ง Henry Cavill
โฌ ๐ฌ๐ง Tom Hiddleston
โญ ๐ฌ๐ง Hugh Grant
โฎ ๐ฌ๐ง Colin Firth
โฏ ๐ฌ๐ง Ralph Fiennes
โฐ ๐ฌ๐ง Jude Law
โฑ ๐ฌ๐ง Ewan McGregor
โฒ ๐ฌ๐ง Alan Rickman
โณ ๐ฌ๐ง Christopher Lee
The 12 Most Important Trophies in the World ๐
1. ๐ FIFA World Cup (FIFA)
2. ๐ช๐บ UEFA Champions League (Champions League)
3. ๐ช๐บ UEFA European Championship (EURO)
4. ๐ Copa Amรฉrica (Copa Amรฉrica)
5. ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Premier League (England)
6. ๐ช๐ธ La Liga (Spain)
7. ๐ฎ๐น Serie A (Italy)
8. ๐ช๐บ Europa League (Europa League)
9. ๐ง๐ท Copa do Brasil (Brazil)
10. ๐ Copa Libertadores (CONMEBOL Libertadores)
11. ๐ Africa Cup of Nations (AFCON / CAN)
12. ๐บ๐ธ MLS Cup (Major League Soccer - USA)
Which cup is the easiest to win for you?