MAKALA FUPI YA KIHONGOSI ALIVYOTUA IRINGA
โAzungumzia miradi ya Sh Trilioni 13
โAtaja faida za ununuzi wa ndege
โWimbo wa Kihehe wawa gumzo
#MtumishiWaWote#KaziNaUtuTunasongaMbele
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,*Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN,* akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Jijini Dar EsSalaam leo Jumatatu tarehe29 Juni,2026.
*#UhaiWaChamaNiVikao*
*kazi iendelee
@Baradhuli2 Jifunze kuwa na Adabu alooo, hata Maandiko yanasema Heshimu Mamlaka
Zilizowekwa Duniani huna Hekima unategemea unachokiongea nan anakuskiliza?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, *Mheshimiwa Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN,* akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya Heidelberg Materials, ambao ni wazalishaji wa Saruji chapa ya Simba Cement na Twiga Cement, ulioongozwa na Mjumbe wa Bodi ya Uongozi na Mtendaji Mkuu wa Afrika
๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐; ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐!!!!!
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi mkoani Pwani kuanzia tarehe 01 hadi 03 Julai,2026
@royalmediatz Mwenyezi Mungu alishasema yote ya hila
Yaliyo sirini atayafichua hadharani ni wakti wake umefika wa kuwekwa hadharani chadema hila zao ovu za hii nchi
@mbunge_taifa255 Endeleeni kujidanganya nyie wanaharakti uchwara njaa zinawatesaaa ๐ ๐๐ asaiv mpo kama mmechngykiwa maskini, nchi haijarbiw nchi iko Imara hii
@chapanombombwi Hujui CCM ni nani au ndio kuJipoteza network tu, CCM ni Chama Dume chama pendwa na wananchi wake, kimeahidi kuleta Maendeleo na kimefanya vitu vinaonekna ๐๐๐๐๐