Kwa walio interested kufanya JOB application au application za shule e.g Masterβs degree ABROAD au BONGO, I am available this holiday season for CV revision, kuβshare my comments etc!
FREE OF CHARGE.
Ukiwa interested nitumie CV yako DM au use; [email protected]
Thanks!
Sema wanangu ebu waza umetulia zako pale OPD
Afu Najali afya kafanya zake FBP,MRDT na urinalysis
Afu ety umwambie hamna shida
Ukampa panadol tu π€£π€£
Utasikia nje simu "nimefanya mavipimo yote wanasema sina shida na mm naumwa ngoja niende ile maabara ndio wanaonaga malaria yang
Moja ya wasomi ambao elimu yao wamepata Tanzania, amesoma shahada ya udaktari UDSM, akaenda Tumaini University kwa ajili ya shahada ya pili akibobea afya ya jamii, akasoma tena shahada ya pili ya usimamizi wa biashara akibobea usimamizi wa huduma za afya huko Swiss Tropical and Public Health Institute, akasoma post Graduate Diploma ya Strategic Leadership kutoka Uongozi Institute kisha akaenda UDOM kwa masomo ya PhD.
Amekua mganga mkuu wa wilaya Bahi, mganga mkuu wa mkoa Shinyanga, mkurugenzi wa afya, ustawi wa jamii na huduma za lishe OR-Tamisemi na sasa ni mkurugenzi wa huduma za kinga wizara ya afya.
Anaitwa Dr. Ntuli Angyelile Kapologwe, daktari aliyesimamia ujenzi wa vituo vya huduma za afya za awali 3,800, akaanzisha programu ya m-mama iliyotoa huduma za dharura kwa kina mama wajawazito 99,484 na kuokoa vifo 4074 na hapa juzi ameshiriki kuanzisha programu ya wahudumu wa afya ngazi ya jamii na kuajiri wahudumu 137, 294 Tanzania nzima.
In 2013, Blackberry was LOSING $1 Billion every quarter.
No one was buying their phones. Everyone said they were finished.
Then their new CEO made ONE move that put them on top of an industry no one saw coming.
Here's how he pulled off the most shocking comeback ever: π§΅
π°π· Presidents of South Korea
1. Syngman Rhee (1948β1960) β Overthrown.
2. Yun Bo-seon (1960β1962) β Overthrown.
3. Park Chung-hee (1962β1979) β Assassinated.
4. Choi Kyu-hah (1979β1980) β Removed by a military coup.
5. Chun Doo-hwan (1981β1988) β Sentenced to death after his presidency.
6. Roh Tae-woo (1988β1993) β Sentenced to 22 years in prison after his presidency.
7. Kim Young-sam (1993β1998) β Imprisoned during the term of President No. 3. As president, secured convictions against two of his predecessors.
8. Kim Dae-jung (1998β2003) β Imprisoned under President No. 3 and sentenced to death under President No. 5 (later pardoned). Nobel Peace Prize laureate.
9. Roh Moo-hyun (2003β2008) β Impeached (later overturned by the Constitutional Court). Investigated for corruption after his term and committed suicide.
10. Lee Myung-bak (2008β2013) β Arrested for corruption after his presidency; sentenced to 15 years in prison.
11. Park Geun-hye (2013β2016) β Impeached and arrested for corruption; sentenced to 24 years in prison.
12. Moon Jae-in β Recent president; no imprisonment.
13. Yoon Suk Yeol β Impeachment likely.
πΈ: Yoon Suk Yeol
Ndugu Lubasha , Wasalam
Value Chain ya kilimo ni ndefu sana ila hapa nitaeleza zile ambazo ni gap (yaani zina fursa nzuri kwa sasa)
1. Udalali (Broker) - Hii kijana huhitaji kuwa na mtaji ila unatakiwa kuwa na taarifa za masoko mbali mbali , unaunganisha wakulima unakula cha juu udalali wa mazao haya unalipa zaidi nyanya, tikitimaji, vitunguu , mikunde, spices ...NB Achana na mazao yenye bodi
2. Trading (Kununua na Kuuza)-Soko kubwa ni DSM , unaweza kwenda mikoani huko unanunua mazao na kuja nayo mjini na kuyauza , kwa sababu umesema mtaji wa kawaida mambo ya export tuachane nayo japokuwa Kenya kuna soko zuri sana
3. Chakula cha Mifugo , hii value chain watu wanaisahau lakini amini nakuambia pumba za mchele, mashudu , Pumba za mahindi , Uduvi wewe nunua zifikishe DSM au Moshi/Arusha , Ukienda sehemu wanazolima haya mazao hizi ni byproducts bei sawa na bure
4. Kulima, hapa ni vizuri kutafuta maeneo ambayo hayana gharama kubwa za uwekezaji hasa maji , lima mazao ya muda mfupi tuu
5. Kutoa huduma za kilimo na ubunifu wa teknolojia za kurahisisha kilimo
I submit .