Jana kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Yanga "Annual General Meeting" (AGM) uliofanyika The Super Dome- Masaki jijini DSM, sikubahatika kusikia/kumwona kiongozi au mwakilishi kutoka shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) walikuwepo...?
WEMEPIGWA CHENGA, HAWAAMINI MACHO YAO
Inasemekana kikao kifupi na cha watu wachache kilitarajiwa kifanyike nchini Misri jijini Cairo ili kuombana msamaha kwa kuahirisha Dabi ila cha kushangaza mwenye haki kachomoka yupo KMC anaangalia boli.
Umeshambuwa ni nani...?
Wasanii wa South Africa wamekuwa wakiishi katika utamaduni wao hata ngoma zao (Amapiano) wamechukua midundo kutoka kwenye makabila yao ( IsiZulu)...why producers watanzania wanashindwa...! tuna makabira zaidi ya 120 bebeni midundo huko isukwe twende na icon yetu ...
Kuna wasanii wakubwa wanashindwa kutofautisha maneno haya wimbo na nyimbo....kasikilize wimbo wa #Zali Dully ft. Alikiba na #Ololufemi Jux ft. Diamond Platnumz utasikia humo.
"Khaligraph juzi kajenga nyumba ameiposti kila sehemu ngazi nyingi, nyumba kama benki, Diamond ana nyumba 113," Baba Levo
Kuna mtu mwenye swali huko...?
Naikumbuka kauli ya Prince Dube kuwa anahitaji timu inayobeba makombe, kweli kadondoka Yanga kaanza kunyanyua kwapa....vipi huko Failasufi kanyanyua au bado anasikilizia...π€£
Preseason inawaumbua wachezaji Yanga walitumika zaidi kipindi cha ligi 2023/2024 kumalizika Job, Kibabage, Muda, Mzize...ukiwatazama tu utagundua ninacho maanisha π€£π€£
Nilikuwa naifuatilia mahojiano ya Mayele na mtangazaji Legend, ukweli sikuona ubaya kuhojiwa ila Legend hakustuka na kufuata ethics za kiuandshi, lakini aliendelea kuuliza maswali yamlengwa wa Yanga tu bila kujuwa anaichafua Yanga na taifa kwa ujumla.. Very sad.
Γ Ndio mwanamke pekee Tanzania mwenye....!
Γ Malkia wa Nguvu kwenye kiwanda cha burudani.
Γ Amesimamia majukwaa makubwa ya kiburudani.
Γ Aliwahi kuwa DJ apewe maua yake.
Ukiwapima nje ya pitch unawaona wana uwezo, ila ndani ya pitch utatambua uwezo wao mdogo wa kuzalishaji na kupata matokeo.
Ukiwauliza wanaelekea wapi watakujibu hawapajui ila wakiacha ujinga kuna kitu watafaidika mwisho wa msimu 2023/2024.
Si kushangaa kuona timu za nje kuja TZ na vyakula + vinywaji vyao hili limetokana na historia ya klabu moja kubwa hapa TZ kufanya michezo hiyo, haya ndio matunda yake timu zinahofu...ukiharibu wewe unawaharibia wengine...
Tuwe wawazi mataifa (Timu) yaliyoenda kwenye mashindano ya AFCON wamejipanga sana na wanajuwa kutangaza culture zao kutokana na mavazi yao...why Taifa Stars wasingevaa mavazi ya kimasai....nipo zangu nawaza tu
"Golikipa alikuwa sahihi na alifuata sheria zote, maana alitanguliza mguu wa kushoto mbele na mguu wa kulia ulibaki kwenye mstari." Amri Kiemba mchambuzi via Azam Tv
Wewe umeonaje...?
Baadhi ya walionda Hija wako vizuri zaidi ila wachache waliorudi kutoka hijja wana matendo ya kishetani (Machoni kama watu...)
Unaweza ukawa unavuta Shisha ukijiona mjanja ukirudi upande wa pili kichwani empty.
Ukilewa usiwakimbie waliokupa ofa siku ya siku hawatakupa ofa.
VIDEO VIXENS BORA MUDA WOTE
Bongo imejaaliwa kuwa na mabinti wenye vipaji na warembo wanapotokea kwenye vichupa vya wasanii wa Bongo fleva na kutengeneza mkwanja, lakini leo nakupa listi ya video vixens bora wakati wote hapa Bongo
https://t.co/LYmhY3cgyC