@SalumKoba@msouthherbs Hao ni watu sawa ila kuna tofauti katibya salafy na answar sunna(hizbia) lakin ahlu sunna wal jamaa ndio masalafy
(Allah ndio mjuzi zaidi)
@Mtanzania_99 @OfficialFad18 @DullahTheking2 Huu uongo wa juu kabisa hakuna ndoa ya namna hiyo labda wawe wamedanganya kuwa amebadiki din lkn kama wanajua kama Bado Kila mtu ana dini yake hapo hakuna wakukufungisha ndoa