โFaza โTALENTED
| Journalist | MC | Media Trainer
| Academician | Community Mentor | V/O Artist |๐8th June โฝ๏ธ @ManUtd @bayer04_en @Simba @Realmadriden #MekShua
Everyone will have their way of prioritizing their own interests. Make sure you prioritize yourself. Donโt lose yourself trying to be everything to someone. Come back to YOU. Have the courage to love yourself so much that putting yourself first comes natural to you. #MekShua
03.
Mungu Ndiye Mpaji.
Tujipende Binafsi Kwanza na Tumwombe Mungu Atupe Watu Sahihi. Ninamwomba Mungu atujalie kuzitambua vyema Mapema Nia za watu (marafiki/ndugu/majirani nk.) wanaokuja Maishani Mwetu kabla hatujaziona nia zao baadae tukiwa tumeshawakaribisha tayari. #MekShua
01.
Unaweza Ukakosa Leo,
Wao Wakadhani Utakosa Kila Siku, Wakakuona Hauna Maana.
Unaweza Ukapata Leo,
Wao Wakadhani Utapata Kila Siku, Wakakuona wa Maana Sana, Wakasogea Karibu Nawe na Wakawadharau Wengine Kwakuwa Hawana.
#MekShua
02.
Wakati Mwingine ni Ngumu Kutofautisha Walio Karibu na Wewe Kweli na Wale Walio Karibu na Kile Wanachotaka Kupata Kwako (Faida), Kama Hauna cha Kuwapa Hata Kidogo Basi Hawakutambui.
MAMBO HUBADILIKA
WAKATI WOWOTE.
#MekShua
Baadhi ya Media zetu hapa Bongo zina Clowns wengi sana ambao wamepewa mamlaka na wanadhani wanajua kumbe hakuna kitu wanachojua na hawataki kujifunza hata kwa kuwasikiliza wanaojua ndio maana mambo yanaenda shagalabagala tu๐ฎ๐ฎ
Ironically, this tweet is part of the very distraction it critiques. Instead of amplifying development discussions, youโre shifting focus to the same โhullabaloo.โ Why not stay on course and engage with the Vision 2050 agenda itself?
Nyaraka muhimu ktk kufungua Mirathi..
1. Cheti Cha kifo nakakala halisi
2. Barua ya utambulisho ya mpendekezwa msimamizi..
3. Muhtsari wa kikao Cha familia/Ukoo kilichokaa kuona namna ya kusimamia Mirathi..
4. Barua za utambulisho za wadhamini wawili...
Nimeishi kijijini Bukumbi. Nimetumia kivuko cha Kigongo Feri kwa miaka kadhaa. Kukamilika kwa daraja hili, kumeweka Sura ya kuvutia sana kwenye KITABU cha Rais Samia. Hongera sana @SuluhuSamia ! Kwa hakika kila zama na Kitabu chake, kitabu chako kinapendeza๐๐พโ
Kuna Kufaulu na Kuna Kufeli.
Yote ni Matokeo.
Kuna Wakati Inabidi Tujifunze Kupokea na Kuyaelewa Matokeo Vyovyote Yatakavyokuja. Yawe Mazuri au Yawe Mabaya. #MekShua
Watendee wengine kama wanavyokutendea Wewe, lakini daima chagua kuwa bora kuliko wao.
Kumbuka: Wewe ndiye unayeamua kuwa bora au kuwa kama wao.
#MekShua
โNape, lazima muwasaidie vijana wasidhani majibu ya changamoto zao zote yatapatikana kwenye siasa, this is a wrong perception, tuunge mkono kampeni ya kuwaonyesha fursa ili wafikiri nje ya boksiโ Ruge Mutahaba.
Endelea kupumzika kwa amani brother!๐ช๐ฝ