SIMBA DAY 2023: Hivi ndivyo Uwanja wa Benjamin Mkapa anavyoonekana kwa ndani ikiwa ni masaa machache yamesalia kuushuhudia mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Power Dynamos.
Zimebaki saa ngapi vile?
Kinachoendelea muda huu ni Burudani #LIVE#AzamSports1HD#SimbaDay #TamashaLaSimbaDay #SimbaSC #UnyamaMwingi #Unyama #SikukuuYaSimba
@simbasctanzania@ahmedally_