@zoetjesheeftX Hana hisia za mapenzi huyo tena hata ndani ni shida mume hafurahii penzi tena.
Mara nyingi hao ni wagonjwa kwenye hisia za mapenzi. Ni kabila gani huyo dada? Ogopa makanisa ya mfukoni akifa na lenyewe linakufa
@privaldinho Yanga ni wachawi ndio maana hamuwezi kufanya vizuri kimataifa.
Wewe ni Simba ila kamkate kanakufanya uwe muongo hii ni fashion sasa kusema uongo Tanzania!?
@SwahiliRealTalk Tumia mafuta ya taa, sabuni ya unga na juice changanya puliza,usafi uwe kwa wiki nzima ukitumia hiyo dawa. Kama sio uchawi basi watakufa hadi mayai yake.
@SimbaSCTanzania Simba bado sana, viongozi mnauhakika hawa makocha na wachezaji mnapata muda wa kutafakari kweli!? Nani yupo nyuma ya hii mipango ya usajili!?
@shaffihdauda1 Hersi yuko sahihi pale Simba Kuna viongozi wakongwe wasioendana na wakati tulionao.
Ni watu walewale miaka yote.
Utawala bora hakuna pale ni wakongwe bora.
@YerickoNyerereT Kusoma kitabu ni vyema sana lakini akili ya kuelewa mazingira ya jamii yako ni kipaji kingine. Ndio maana mbowe na Nyericko walishindwa uchaguzi wa ndani wa chama chao na kukimbilia chaumma.
@HildaNewton21 Uongozi wa bunge hii hakutakiwa kuiruhusu maana bunge ni chombo kitakatifu hakuna binadamu kenge.
Lugha hizi ni hatari sana kwa jamii.
Hujuwi ni kiasi gani watu wanakuoenda au kukuchukia?