I help founders turn their expertise into content that builds authority and attracts opportunities.
Hey, your time is worth more than the cost of hiring me.
Wengine ;
▪︎Nina wakaribisha tena bila hiyana.
▪︎Nina wachapa adhabu- ndiyo wakaribie.
▪︎Nina wafungia milango kabisa - wasiingie kamwe ndani.
Hata niku-kubali vipi mwanangu, usipo taka twende inavyotakiwa twende.
Natimiza torati.
"Huruma Sio Malezi"
@Brayan_606 Zamani nilikuwa napenda sana wanawake walionizidi umri.
Sijui ni ujana, ila toka nimeingia 3rd floor hakuna kitu utanishawishi.
Nikapige mwanamke aliyenizidi umri ngumu sana.
Kamwe sifurahii mwanaume mwenzangu akianguka.
Na akianguka naona ni 'fair' kumtokea yeye-kwasababu tofauti na hapo.
Ange endelea kuhisi dunia ni sehemu salama ukiwa 'simp'.
Sasa ata-amua kujifunza na ainuke au aendelee ku-fake na kuwa boya zaidi.
Moja ya swali la muhimu sana.
Kabla hujaanza kushauri na kuwaelewesha watu kuhusu jambo fulani.
Jiulize hivi wewe mwenyewe, kisha majibu usiyapindishe.
Je unaweza kumuelekeza mtu kuhusu jambo fulani, na ukajiweka wewe mwenyewe kama mfano na ukaeleweka ?.
People think you're a robot.
You just post professional stuff and think it's cool.
No, it's not.
Post other regular stuff.
Interact with others.
Share your thoughts, even if it means being offensive.
People think you're a robot.
You just post professional stuff and think it's cool.
No, it's not.
Post other regular stuff.
Interact with others.
Share your thoughts, even if it means being offensive.
@MalkiaTabasamu Hiyo inaitwa poteza boya, hapo hata maadui lazima wachanganyikiwe.
Anyway, ujue wewe ndiyo amekuelewa huyo mwingine ni kwajili ya attention.