TUPATE COMMENTS ZA #D9 ZA KUTOSHA ISHARA YA KUSHIRIKI MAANDMAANO YA NCHI NZIMA.
MAANDMAANO HAYA HAKIKISHA UMEBEBA BANGO LENYE UJUMBE WA KUONGEA NA WAKOLONI WEUSI.
REPOST 500
#D9#SiriNiNamba#Disemba9Tunatoka#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo magumu ili kuthibitisha alama za nyakati na tujue tulikuwa na yeye ktk safari ya haki. Ninaiona kesho iliyo bora, yenye heshima na utukufu wa Mungu, maana dalili zote tayari zimekamilika. Basi tusifikiri mabaya juu ya mtu yeyote bali tuendelee kutafakari haki na wala tusichoke kutenda wema maana tutavuna pasipo kutarajia. Mtamshangaa sana Mwenyezi Mungu. Mimi, ingawa ni mdhaifu na sina uadilifu mbele zake, lakini ninautambua uwezo wake usio na kifani. Leo imekuwa siku ya ishara kubwa. Jipeni Moyo Mkuu. Tutavuka salama. Msizimie Moyo.
Simba SC, you got robbed today. But you have brought great honor to our country. You have my full support at all times. In solidarity with you either way. 👏
OMG🥶😭—GOD did again 🙏🏽🙏🏽
Kendrick lamar-Not like us 🎶🎼
BOOM🏆🎉✅✅✅🤩
Drop all winning tickets my people—If You dont have Drop aza
Crediting 10M from the first 100 likes and retweets.
Love you 🩸🫶
64.5 M settled 😭✅✅✅
God Did 🙏🏽🙏🏽🏆
My 50 people who always Retweets on my posts, this Giveaway is for you🙏🏽
I really love you.🥰
You keep me motivated—Drop your aza asap
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
Jana tumeshinda mikeka mitatu. Leo tena tunaenda kushinda kibabe.
Kabla sijaanza kazi yangu ya mikeka naomba Repost 400 kwa Lissu kuwakumbusha wajumbe wa mkutano mkuu kuwa W/NCHI tunamtaka LISSU.
Tunaamini kupitia LISSU, kama wao wanatuwakilisha sisi basi haya ndio maoni yetu.