@polo_kimanii Kimani uko na bahati bibi Ako hayuko Kwa hizi corporate😅, wangu walienda kuruka mwaka kisumo let me tell you Maina alikuja akiwa ananuka samaki...😅💔.
@DonaldBKipkorir Ol Kalau will be the case study for Kenyans when politicians are wooing for votes but in return you know where you will cast your vote.
@omwambaKE When it comes to wedding we are being look upon as poor but when the right time come of deceiving Kenya consolidating Huslers ,we are invited as guests who bewitched Kenyans.
Leo tulikuwa mkutano alafu pastor anasema Gen Z mnafaa kuwa Kwa ndoa, alafu mmoja wetu akasimama na kumjibu ile siku mtatuachia soko ndo tunaeza kubali maneno ya ndoa,yaani wazee wakongwe wanafanya soko iwe na bidhaa ya bei ya juu.
@polo_kimanii Hapo unasikia unajua baba Kimani wew ata hujuangi kuchagua nguo ya safari unafaa kama mkorino alafu anacheka kidogo na kusema Leo uko sawa ata nimeambiwa na rafiki zangu hapa😅😅.
At a recent funeral service the pastor declare that the fact that we only live and die once. While this was meant to be a spiritual lesson, it deeply resembles the political term limits we hear about in the news...Kenya for you.
Unaeza kuwa na kamama hii Nairobi kumbe ni jambazi😅, wakati mko courtship huwezi jua ni gaidi Ile excuse anakupea akiendea ugaidi😅😅 Wacha tu inatosha atoke mapema bila kumzuia😅🥺.