@thisistemidayo Yanga Leo kila mtu anataka kuonyesha yeye ni nani kuliko kucheza kitimu siioni ile yanga ambayo ilikuwa inapiga pass nyingi inajenga mashambulizi may be ni kutokana na mpinzani aliyekutana nae Leo,ila kocha huyu sijui