kwani @VodacomTanzania mnachangamoto gani mbona mtandao wenu unasumbua sana hasa hii huduma ya 5G imekuwa 2G tatizo ni nini alaf hii inakuja baada ya tarehe za kati kati ya mwezi mnatukwamisha sisi wengine tuliochagua huduma yenu , na mtatupoteza kwa huduma duni ๐ก
@kingmakini@GraceNguo hatimaye kupelekea kufa kabisa ,
โจnini cha kufanya kuzuia hilo tatizo kama ww ni mpenzi wa kutumia laptop kwa godoro โจ
โจ tumia kifaa kigumu kisichohifadhi joto
โจkutumia laptop stand husaidia sana sana na sana
โจ na kingine kipende na kukijali ili uwe na furaha zaidi
@kingmakini@GraceNguo kwa godoro linahifadhika na kurudi kwa laptop yako ndo maana unaweza kukaa kwa muda baada ya kutumia ukagundua laptop yako ni ya moto sana , ni kwamba inashindwa kupumua vizuri siku na siku ukiendelea hvo husababisha baadhi system cooling kufeli na kuleta jam katika kifaa chako