@WEEX_Official A
It has a strong upward flagpole, followed by a brief downward-sloping flag, then breaks out upward, confirming a bullish continuation.
@Darius1297@samupixel
UID: 7459252800
Mimi ni maskni hiyo sikataangi,lakini maskini wenzangu wenye nahurumianga, ni wale wamejikaza wanalipa rent,alafu kando ya kwenye wanaishi Kuna pastor mkumbavu amefungua kanisa iko na watu kumi na mbili lakini wameeka speaker mpaka nje. Bwana this thing depress you so bad. 6:40Am on sunday unaskia nugu imeshout “Haleluyah” . Na saa hiyo kanisa haina mtu,mapiano ndio hizo zinaanza. And they sing very terrible songs. You can actually tell if the church is for rich or poor people by the hyms they sing.
Hii yao inakuanga for poor people. Piano inafinywo inalia nikama iko na homa. Mwenye anaimbisha pia hafuati rythm,you can tell they didn’t have breakfast. Unajua mimi nilienda kanisa pale Karen,ikifika ni wakati wa kuimba microphone iliwekwa chini. Kila mtu akatoa hymn book. Pale tunaimba in uniform. Lakini maskini anataka aimbe,na tena ashout,tena aruke juu,the whole thing becomes so chaotic,alafu akimaliza unaskia “123 jesus!”
Bwana If you live around such madness,mimi nakuombea upate pesa ya kuhama. Aki unaeza ata anza kuchukia mungu juu ya hii wafuasi yake blarfakin. Eih!
I joined Binance in 2022, and the journey has been amazing. Every challenge has been a lesson, every milestone has fueled my passion, and I'm excited to keep growing with the Binance community.
Happy 9th Anniversary, Binance! 🎉
Nine years of innovation, growth, and empowering millions around the world with financial freedom. With a lot of prizes for us. @BinanceAfrica#BinanceTurns9#Binance#Crypto#Web3