Naona huko DRC wameamua kupiga mabomu ya machozi hadi maaskofu na mapadre wa Kanisa Katoliki! Ila wao wameamua kusimama bila kuyumba!
Haki inapambaniwa! Hupewi kwenye sahani!
Leo nilikua naambia my relative kwamba nataka nianze gym ,akaniuliza unaenda kufanya nini nikamwambia mazoezi,akauliza ya Nini? Nikamwambia nataka kua na flat tummy 🤣🤣,akasema yaani kuna watu hamuridhiki mpaka mnataka mkufuru,yaani flat tayari unayo ila unataka heka heka🌝,
Hello Dears♥️ Mungu ametubariki na week nyingine tumshukuru🙏 Iwe week yenye heri kwako Mungu akutendee mema aziongoze hatua zako zilipo baraka zako palipo na ugumu akufanyie wepesi zaidi sana akuepushe na hatari za kila namna asiwepo wa kupatwa na mabaya🙏♥️