Kisha tukakufanya ufuate njia, sunna, na njia ya amri yetu tuliyoamrishwa na Mitume wetu kabla yako, yenye kulingania kwenye Imani na matendo mema, basi ifuate
اللهم اشفِ كل مريض نوى الصيام فعجز وارحم كل ميت نوى الصيام فرحل.
#رمضان_مبارك
Ewe Allah mpe shifaa kila mgonjwa ambaye alikuwa na nia ya kufunga Ramadhan ila akashindwa kufunga. Na mpe rehma zako kila mtu ambaye alinuwia kufunga Ramadhan lakini akafariki dunia.
Ramadhan_Mubarak