Kampuni ya HistoSonics wameweza kutibu saratani ya Ini (primary and metastatic liver tumor ) kwa kutumia teknolojia inayotambulika kama Histotripsy ambayo hutumia Tumor Destroying Soundwaves kuua seli za saratani bila kutumia chemotherapy,upasuaji au mionzi .
@OnlineDentistTz@ItsKamala Iodine ni additive ya kisheria kwenye Chumvi wenzetu wanaenda mbali wanaweka mpaka Iron depending na mahitaji ya Jamii husika!Kwa East and Central Africa hii ni chumvi bora sana haina suphates kwa kiwango kikubwa na hata haihitaji addictive nyingi kupata rational zinazohitajika
@chapo255 Kiuhalisia hakuna rules kwenye haya maisha zaidi kila mtu huwa na Kanuni(principles) zake ;Mwengine akiweka hadharani kila kitu chake ndio hujisikia vizuri zaidi na kuendelea kutafuta zaidi ili apate zaidi vya kuonyesha hakuna kiranja wa mwengine kila mtu anapambania maisha yake
@gateteviews Most of these fallen brothers turned into addicts as the results of ever lasting wars and we have no proper rehabilitation plan in place to help them adjust to new life!Sad we have let them be the laughingstock in our societies
@Teeniiola Witchcraft is not the only explanation for instance unripe bananas contains Polyphenols which when heated react with oxygen and/or cast iron pots which can cause the reddish color you see but also some banana have anthocyanis which also turns red when heated !
@BongeLaAfya@KhethiweAS Ni vizuri kufanya consultations na mabaraza husika ya kitaaluma kabla ya kijana hajaenda kusoma na moja wapo ya kitu kinachoweza kumpa uthabiti wa ubora katika kitu ameenda kusoma ni kuhakikisha anapata NOC kutoka TCU ambayo directly itampitisha kwenye baraza husika
@ntulikapologwe Great move, Chief! Enhanced fellowship and collaboration between governments (especially healthcare workers and regulatory bodies) and international agencies are key to advancing universal health coverage more rapidly