@George_Ambangil sasa ivi ndio tuamke, kutimua timua makocha sio suruhisho la tatizo katika tim
wengi nilipingana nao kuhusu kipara ila ilionekana natetea uovu
@Ernest_bigboy @ArushaAllday hao wasanii wako wa kizazi hiki ,wimbo miezi mi3 huusikii tena wala vumbi hulioni hata kidogo. mond mwenyewe ngoma kipindi yupo na wema saiz nizilipendwa na huwezi zielewa. nenda maharusini uone vibe la kale mzee
@George_Ambangil nyia waoga tuacheni na team yetu, hameni kwa mda ila sisi wenye team yetu mpaka kieleweke. maana Man u ikifungwa mnasema ilistahili, Ikishinda mpinzan kafanya uzembe
@George_Ambangil ila watangazaj wa wasafi ipo sikuyetu maalum, maana kwenu huwa mnaidharau sana man u leo mchambuzi wa kimataifa sports cout kachamnua mechi kinaz sana na amechania eatu mikeka
@George_Ambangil mkuu hapo ni kazi bure bila kua na no8 wa uhakika, wewe unaviungo wavunjakuni badala ya kua na watu wa kutafsiri na kuunganisha tim kwa kushambulia
@FKihamu kama mchezaji kujituma inahitaji kocha bas hakuna kocha wa kuifundisha man u.wooote walio fukuzwa hamna kitu basi sio timu ni taasisi ya wajuaji
@Jumaallymwiguru kwanini mna hasira sana wana arsnal, kwan wengine hawana sifa ya matokeo bora? kama hawastahili kwann wakifanya hovyo mnawacheka? this is football game