Huku bukombe wilaya ya mbongwe kata ya masumbwe Umeme umekatika usiku mpaka sasa haujarudi na ikumbukwe Leo kuna mechi ya watani Wa jadi Simba vs yanga hivyo tunaomba mfanye hima Umeme urejee mapema iwezekanavyo
by Daudi Makindo
@Vicent_mashinji Mbona nyie watu hamna jema daah aliyewaroga nahisi alishafariki raid kuja kuchukua hatua hiyo ameshauriwa na watu wenyeakiri nyingi kuliko hata wewe na wamefanya tathimin na research ya uhakika sasa wewe usijifanye unajua sana @Vicent_mashinji
@MariaSTsehai@jmkikwete Sasa hivi hakuna cha nyuzi joto wala nyuzi baridi kazi tu endeleeni kuisoma namba kwamaana mlizoea siasa za kuambiwa maneno matamu matamu na Mzee kikwete ila mlimzalau na kumuita majina yote mliyoweza kumuita sasa hivi munakaliwa bila malisho @MariaSTsehai