@EduTalkTz Ikifanyika mara kwa mara bila chanzo kipya cha dola (mauzo ya nje, utalii, uwekezaji), si suluhisho la kudumu, Kwa kifupi
๐ Kuingiza fedha kwenye forex ni kama โkupoza motoโ:
Husaidia kudhibiti hali ya haraka, lakini suluhisho la muda mrefu ni:
๐Kuongeza mauzo ya nje.
@bbcswahili hata EU nzima pasipo marekani hawatoboi kwa urusi, pale Ukraine ipo NATO changanya na mamluki lukuki lakini hali kama unavyoiona pray for Ukrainian