Ladies huu mwaka Unapoingia kwenye MCHEZO uwe na watu wanaoweza kukupa hela ya kulipia MCHEZO kwa sisi ambao hatuna hela ya MCHEZO ni ngum kukupa hela ya MCHEZO baada ya MCHEZO
Toa MCHEZO upate hela ya MCHEZO
Moja kati ya vituko duniani ni kituko cha wewe na X wako jinsi mlivo achana
Kwa mfano we na mpenzi wako mliachana kwa sababu gani?
Jibu lako litachekesha wengi😅😅
Namiss ukicheka mama..
Namiss sometimes unavoongea mama ..
Namiss Kuna mda tulizinguana...
Ila simiss pale tuliachana ...
Namiss hadi maujinga mama...
Namiss ulivo nipenda sana...
Namiss kwenye bedi unayaweza sana...
Nan alie ku comvis kuachana na mm ooooh
💔😢
Muulize anataka nini nimuombe mungu ampatie
Mimi hoi masikini Hali yangu mwenzangu na mie
Ningekuwa na uwezo ningempa Dunia amiliki ajue nampenda penzi pembe la ng'ombe halifichiki ILA
[Siku izi mapenzi hakuna walio wengi wanatamani]
NATEKETEA MSHUMAA MWENYE PENZI LA KWELI😪
Leo ndo siku ambayo mpenzi wako ataenda kwa mjomba wake na kwa mjomba kutakuwa hamna umeme na mtandao utakuwa unasumbua na atarudi jp jioni😂😂😂
#ValentinesDay