Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Nanyamba mjini ikiwa ni muendelezo wa ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 16 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa Mkoani Pwani kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa
Naomba nisaidie #RETWEET🙏🥰
👉25,000/=
Kuna 👉Man U,Barca,Juve,Real rangi tofaut ila CHELSEA ipo nyeupe tu
👉Karibu 0714336827 Nikutumie Samples #Zaidi
Tunasafirisha Nchi nzima....Kot Kuanzia 3 delivery FREE
Jana nilisema haya Ikwiriri
👇🏿
"Kwa takwimu za Wizara ya Ardhi, takribani watu 70 wanakufa kwa mwaka kutokana na migogoro ya ardhi ambayo ingeweza kuepukika kama Serikali ingekuwa na mpango mzuri wa matumizi ya ardhi. Sisi ACT tunataka ardhi iwe ya wote, kwa maslahi ya wote."
I strive to be a better version of myself.
I celebrate all women.
Thank you to the men, who support us, who allow us to thrive, who provide us with a safe space when we need it, and those who cheer for us especially when we want to give up.
Happy International Women's Day 😊
Proud to announce promotion of Nancy Tarimo to REX Advocates Partner. Congratulations Nancy for this deserving promotion. 🎉🎉🎉 Coming during this Women’s Week makes me even prouder. The REX future🎺🎺🎤
Asante sana ndugu yangu @moodewji kwa imani yako juu yangu. Nakuahidi utendaji bora kwenye nafasi hii ili kwa pamoja tuweze kuifikisha @simbasctanzania kwenye mafanikio makubwa ambayo inastahili.
Fulham masjid, also called Almuntadha mosque next to Stamford bridge was fundraising for Syria on friday. The imam asked for contribution to reach the days target of £22K. Ngolo Kante, chelsea player stopped the collection. He donated the full amount. May Allah reward him more
On sidelines of the @_AfricanUnion Summit, we held a meeting with H.E @SuluhuSamia of #Tanzania.
Discussed trade facilitation & energy investment between our 2 nations, with TAZAMA top of the agenda.
🇿🇲 & 🇹🇿 continue to work together for the mutual benefit of our citizens.
#CMO
Simba - We win together, We loose together- We don’t give up, We keep on fighting.
Simba - Tunashinda pamoja, Tunafungwa pamoja - Hatu kati tamaa, Tutaendeleza mapambano.