Jana nimeshinda kwenye website ya Rolls Royce Motors naangalia gari zao sasa sijui shetani gani kaniingia nikajaza my contacts details simu na emai kwenye inqure section ๐๐
Leo asubuhi naona spam call inaingia najiuliza huyu nani keshapiga mara mbili kurudi kupiga ile namba naulizwa kama bado nina interest kuendelea na my order was like WTF ๐๐๐๐
To those who are questioning as to why Zanzibar with a population of 2 million people presented a budget of TZS 5.7 trillion while The Union Government (Tanganyika) with a population of 60 million presented a budget of TZS 62.3 trillion instead of TZS 171.0 trillion? Here is 1/4
@KennedyMmari Ni either wataalamu wetu hawana exposer au kuna kitu hakipo sawa kwa watendaji wetu ๐๐๐..imagine hizi barabara wanazoweka mwendokasi zote zingekuwa na mti mizuri pembeni au katikati njia zingependeza sana ila sasa ni concrete tupu mwanzo mwisho
Leo AGM Ya NMB Bank Wamepitisha Azimio La Share Split Ya 1:10
Yaani Kila Mwanahisa Mwenye Hisa 1 Ataongezewa Hisa 10
Liquidity Ya Hisa Za NMB Itaongezeka
Hivyo Usishangae Hisa Za NMB Zikatoka 15,000 Kwa Hisa Moja Mpaka 1500 - 2000 Baada Ya Mchakato Wa Share Split Kukamilika
Club legend Cesar Azpilicueta will retire from football at the end of the season.
Congratulations on a superb career, Azpi, and thank you for everything. ๐
Kuna mshikaji alikuwa anapiga kazi kwenye kampuni ya REAL ESTATE;
Ali-master kweli kweli โThe Art and Psychology of Sellingโ. Aliwanasa wateja kama ndege na kuifanya kampuni ikue haraka.
LAKINI, kila alipodai maslahi yaboreshwe, Boss ali-ignore.
Mwaka huu jamaa aka-quit kuanzisha kampuni yake mwenyewe.
Aisee ilikuwa ni mikimiki. Dakika za jioni Boss alimpandishia dau ili abaki, lakini ilishakuwa too late, jamaa alikuwa tayari ameanzisha kampuni yake kimya kimya.
Jamaa alipoondoka tu, akasepa na Kijiji cha wateja. Vigisu ikaanza na Boss wake wa zamani mpaka kufikishana mahakamani, but jamaa akashinda.
Sasa hivi kampuni yake ni moja kati ya RE agent inavyofanya vizuri Bongo.
:
SOMO:
>Kwa mtazamo wangu kama mtu anaingizia kampuni faida, sioni haja ya kujivuta au kuchelewa kumboreshea maslahi. Ikiwezekana apewe shares. Ndivyo wenzetu wanavyofanya.
>Kwa upande mmoja wa shilingi, mfanyakazi akiwa ndiyo sura ya kampuni, โFulani ndiyo huwa anafanya (anajua) inakuwa pia ni riskyโ.
> Ni kweli kuna individual differences, lakini kuna baadhi ya vitu inatakiwa Alex akifanya au Juma akifanya iwe utaratibu ni ule ule kwa viwango vilele (Mfumo) ili wateja wasiwe attached sana na mtu mmoja kwenye kampuni au taasisi.
Watanganyika wanashituka kumekucha
mazingira yaliyotengenezwa na CCM kuwapa hawa watu fursa zisizo sawa na wazawa ili kutengeneza wageni wanaomiliki uchumi
hawa wageni ni wagumu sana kukubali mabadiliko sababu ni wanufaika wa CCM na mfumo wake
Kwa namna moja wote hawa wana link na CCM na namna CCM inavyotengeneza sera za uchumi na mipango ya kiuchumi
Kwa nini wahindi na wapakstani au asia pekee yako na sio wazungu au watu weusi? hawa ni jamii ya watu wa dili na wanajamii zao wakiweka mipango yao kwa siri kubwa, ni jamii ambazo zinaendeshwa kwa vikao na makubaliano makali sana , ni team !! Jamii nyingine zote ni ngumu kupata ushirika wa aina hii
Afrika Kusini ilikuwa na haya matatizo mpaka walipoanza shughulikiwa, hakuna watu wanatumaza nchi na uchumi kama hii kamii
Tanzania, we built you something ๐
30 guests only. Tuesday night in Dar es Salaam with me.
First look at NALA Global Accounts, a US dollar account made for us.
If you get paid in USD or want to store money in USD, or send money cross border from Tanania, you need to be in this room.
Apply now, closes when it closes ๐
https://t.co/chaNnVZ7hX
@mhdhamad@HKigwangalla Kaka naomba mnisaidie kujibu hivi kwanino deni la taifa linakua tu tangu enzi za mwalimu, inamaana hatulipi au shida nn au hao jamaa ni kukopesha tu
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hiviโฆ
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tanoโฆ aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodiโฆ
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
Ulichoweka mezani kinaonyesha mismatch kubwa sana.
Wananchi wanacarry mzigo mzito wa kodi na ushuru, lakini output ya system haionekani kwa kiwango kinacholingana.
Hii si isolated incident ya Toyota Crown au import moja tu, ila hii ni pattern ya structured pressure kwenye..
During that 2017 Monaco golden era, teams went there to get players, Liverpool picked Fabinho, PSG picked Mbappe, man city picked Bernardo Silva, guess who Chelsea picked ๐ญ ๐ญ