"Hakuna ukoo wa familia iliyoteuliwa na mungu kuongoza wenzake ni lazima watu waridhie kikatiba na kisheria" DR KITIMA
Haya mambo hatupaswi kuyasahau tunapojadili watu kujitawala, mwenye nia ya kutawala anatakiwa apitie kwenye mchakato huru na wa haki wa kuridhiwa na wananchi.
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nyweleโฆSitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURUโ๐พโ๐พ
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
Sasa fikiria kuna watu wanajiita wabunge wanatamba na ubunge ambao walipata kwa kumwaga damu za watu.
Asante MCHUNGAJI kwa kuja kuongeza sauti ya kukemea MAOVU kwenye nchi. Hujachelewa tunakutegemea kwenye hii safari ya kupambana na WAKOLONI WEUSI.
REPOST 200