Huu Mwembe tuliuona Misungwi ndani ndani huko,upo kama umechongwa na umefunga maua ya maembe balaa.
Ulinivutia kuupiga picha.
So nikasogea,kadri nazidi kusogea ndivyo unazidi kutisha ๐คญ
Nikawa sioni kama ni mwembe tena, ni kama sehemu ya kikao ๐๐ผ
Ghafla upepo ukaanza,nikasepa ๐คฃ
Hapa Mheshimiwa Kamanda Benson Masala Makali Singo Kigaila alikuwa mkali na kichwa chake kama dume la siafu.
Kwasasa hakuna ajuaye msimamo wake kama mgombea wa kudumu wa jimbo la Dodoma mjini.
Chura, unamuonea Mama Tibaijuka
Kama ufisadi unauongelea ni wa IPTL inabidi kwanza uwajue wabia wa IPTL ambao walikuwa ni Mechmar ikimilikiwa na Singasinga kwa ubia wa 70%, na VIPEM Iliyomilikiwa na Rugemalila kwa 30%
Mtaji wa Rugemalila uliompa share ya 30% ulikuwa ni ardhi yake tu ya Tegetega aliyoitoa ili IPTL iweze kukopesheka.
Lakini mkopo kutoka mabenki mawili ya Malyasia wote ukaingia kwenye kampuni ya Mechmar na sio VIPEM
Wakiwa wameshaanza kuzalisha umeme na kuuzia TANESCO, Ruge akafungua kesi IPTL ifungwe kila mtu afe na chake. Ni kwa sababu alikuwa anaona anapata liability ya loans ambazo yeye binafsi hakupata.
Kesi ya Ruge ikamfikia Andrew Chenge akiwa kama AG. Chenge akamchana Ruge kuwa anaweza kupoteza kesi kirahisi kwa kuwa hakuwa ameipima ardhi yake ilipo mitambo ya IPTL
Ruge akawithdraw kesi kisha akaelekea ardhi kufanya utaratibu wa upimaji
Ardhi ambako kulikuwa na โnshomileโ wenzake kina Tibaijuka kama Minister na Rutabanzibwa kama KM, swala lake la upimaji likatekelezwa vizuri kabisa.
So hadi hapa unaona jinsi Chenge, Tibaijuka na Rutabanzibwa wanavyoingia kwenye rada za Ruge just for their good faith ya kumsaidia Ruge kwenye uwekezaji wake clean kabisa.
Baadae, IPTL na TANESCO wakaingia kwenye mgogoro juu ya gharama halisi ya capacity charges ambazo IPTL iliwatoza TANESCO kwa kila unit ya umeme (Tanesco ilidai IPTL walikuza mno mtaji wao)
Mgogoro huu ulijitokeza wakati kukiwa na mgao wa umeme huku IPTL ikitishia kuzima mitambo yake.
So ikaamuliwa ifunguliwe Escrow account BOT ili TANESCO waendelee kulipa na baadae ikibainika ni kiasi gani halisi cha kuwalipa IPTL walipwe huku uzalishaji umeme ukiendelea.
Akaunti ya Escrow ikanona sana na Singasinga akawa anakula timing za kumzidi kete Rugemalila.
Ruge akadaka infos kutoka kwa wadau wake ndani ya wizara ya nishati (Hapa ndio waliingia kina Ngereja na likes)
Baada ya Ruge kupambana ikaamuliwa kila mbia wa IPTL alipwe chake
Ruge akaenda kufungua akaunti mkombozi benki (hapa ndio aliingia Askofu Kilaini kama mdhamini)
Pesa ilipolipwa Ruge akalipa kodi ya serikali, akatoa dhaka kanisani, na kumuingizia pesa kila aliyeamini alimsaidia kupata haki yake.
So, pesa alizogawa Rugemaliza hazikuwa zao la ufisadi. Labda waliopewa wanaweza kuhojiwa kwa kutumia nafasi zao kupokea asante.
Ndio maana Ruge hajakutwa na hatia popote kwenye kesi yake ambayo iliishia kufutwa Ruge alipokataa plea bargain
Hela za Singasinga kutoka Stanbic bank ndio zilikuwa na kimbembe kwani zilitolewa kwa magunia huku kamera zikizimwa na wapokeaji wasijulikane.
Ndio maana Singa akafanya plea bargain na baadae jeshi la polisi likakwapua mamlaka ya mahakama kwa kumpa hati safi ya โno criminal recordโ
Soma zaidi๐
https://t.co/j929Zl2DPJ
Group la harusi
Jamaa anaoa
Ahadi katoa 20M, mke wake 15M
Walioahidi mtu wa kwanza hadi wa 6 ni 4M,5M,6M
Kuna jamaa chini kaandika Mungu baba๐๐๐