Watching March madness you won't believe ni university teams playing. Huku kwetu tuko poor in planning hadi game ya national team inakaa ni kama high school
@Gitz__ shida ni huwa zinavunjika mabawa from flapping around na clients wengi are very choosy. A good operation ni yenye iko na draining bins ata kama ni za juakali