Kwa nini Manabii wanaaminisha waumini wao kwamba kuoata Gari ni sehemu ya mafanikio ? Yaani mimi nina saluni/kinyozi mnaniombea gari ambalo kwa siku litatumia elfu20 kabla familia yangu haijala na kipata changu ni eldu5 kwa siku.Mbona wenye magari hawaamnini kama wameshafanikiwa
Mbowe alihitaji nyongeza 2% tu ya kura ili kumshinda Lissu. Nawahakikishieni, Kama sio @YerickoNyerereT Kuleta ujinga ujinga wa kauli zake za ALPHA & OMEGA, Mbowe angeshinda. Yericko ndio kamfelisha Mbowe. Yericko hakuwa na hoja za kumpigania MBOWE, sana sana kampunguzia kura
Hongera Mh @TunduALissu kwa kuaminiwa na mkutano mkuu kuwa Mwenyekiti wa chama taifa ukisaidiwa na @HecheJohn kama Makamu Mwenyekiti.
Hongera sana Mh @freemanmbowetz kwa kuifundisha Tanzania nini maana ya Demokrasia. Jina lako litaandikwa kwa wino wa dhahabu kwenye vitabu vya kumbukukumbu!
Chama kimeshinda.!
#Stronger
#Together
Asanteni wapendwa kwa maombi, kelele na yote
Thank you for the prayers and the noise
I have limited access right now but I am grateful my account is safe
Nitaingia kidogo #MariaSpaces kupitia @ChangeTanzania tuongee zaidi
Ni Mungu tu
Ms @MariaSTsehai Tanzanian independent media editor and human rights defender kidnapped by three armed men in a black Noah from Chaka Place, Kilimani, Nairobi, Kenya at 3.15pm today. Teams on site.
Spread the word, let’s keep Maria safe
Pictured here in Modoc National Forest is Engine 344, one of countless resources our federal government prepositioned up and down California as these fires began.
The federal government will be here for as long as it takes.
@Wahovyo_Hq@FumboJunior Zamani kwetu haikuruhusiwa watoto kushuhudia harusi ya wazazi wake . Ila siku hizi naviona vitoto mbele ya maharusi ambao ni wazazi wao. Maadili yameporomoshwa kiasi kwamba hatuwezi kurudi tulikotoka tena . Vijana wasasa hawajielewi. Wazazi wa sasa wanasema wamechoka.
Ni kweli kabisa boss. Shida tuliyonayo sisi kwenye mwendokasi huwezi kupata nafasi kama hiyo yabkufungua gazeti. Yaani hata nafasi ya kujibu sms ni shida . Tunabanana saana. Tukipata nafasi kama hiyo hapo kwenye privateJet, mbona tutasoma tu vitabu bila shifa ? Good Morning Bro
Moja ya tabia iliyoimarisha safari yangu ni kuwa na uelewa—kusoma kila siku ili kupanua maarifa na kuboresha malengo. Mara nyingi napata msukumo katika kusoma vitabu vya uongozi, biashara, na ustahimilivu. Mafanikio yanajengwa kupitia tabia thabiti. #Malengo2025